Kwa pamba nyepesi na kali zenye mvuto wa hali ya juu kwaajiri yako mrembo au kwa ajiri ya mrembo wako pamoja na viatu dizaini mbarimbari ukiwa Sumbawanga wasiliana na huyu mrembo kwa nambari ifuatayo: voda-0766069926, airtel-0789906671 Hizi ni baadhi ya hizo pamba na viatu:
Jambo la msingi na lakuzingatia zaidi mapema kabla ya tarehe 16/6/2016 nikufanya backup! Kumbuka kuhamisha file zako kabla ya siku hiyo ili ikitokea simu yako ikafungiwa, kwasababu huezi jua angarau kumbukumbu zako ziwepo sehemu nyingine.
ASANTENI.!
Mpende akupendae, na asiekupenda mpende pia lakini kamwe usimlazimishe nae akurudishie upendo ulionao kwake. Just forgive and forget,
wake-up everyday and move on!