Sunday, 2 June 2019

SUNDAY VIBES

Well known! Dhambi zote ni sawa, ila dhambi yakukata tamaa imezidi kidogo dhambi nyingine! AS longer as you are a real human being expect a lot of ups and downs katika maisha, so don giver up,fight and let God and knowledges your struggles.
*Marufuku kukata tamaa* juu ya jambo lolote lile unaloamini siku moja litakuletea matokeo chanya.

Saturday, 11 May 2019

MISSION WITH VISION

Hakuna mtu amewahi kufanikiwa pasipokuwa na external support i mean ushirikiano baina ya mtu na jamii inayomzunguka(interaction)! But, sometimes, you don't have to do what they TRUST! What they WANT! and What they BELIEVE! In order to reach your planed vision.
Kwa maana nyingine, kuna baadhi ya mafanikio ili uyafikie na baadhi ya malengo ili uyakamilishe ni lazima ufanye maamuzi ya pekee. Unatakiwa kuiruhusu mind yako TU ifanye maamuzi juu ya jambo lililopo mbele yako! (You must do and work on your personal decision) #MisionVisionSucced
                          "Keep it"

SUNDAY VIBES

Well known ! Dhambi zote ni sawa, ila dhambi yakukata tamaa imezidi kidogo dhambi nyingine! AS longer as you are a real human being expect a...