Hakuna mtu amewahi kufanikiwa pasipokuwa na external support i mean ushirikiano baina ya mtu na jamii inayomzunguka(interaction)! But, sometimes, you don't have to do what they TRUST! What they WANT! and What they BELIEVE! In order to reach your planed vision.
Kwa maana nyingine, kuna baadhi ya mafanikio ili uyafikie na baadhi ya malengo ili uyakamilishe ni lazima ufanye maamuzi ya pekee. Unatakiwa kuiruhusu mind yako TU ifanye maamuzi juu ya jambo lililopo mbele yako! (You must do and work on your personal decision) #MisionVisionSucced
"Keep it"
Saturday, 11 May 2019
Subscribe to:
Posts (Atom)
SUNDAY VIBES
Well known ! Dhambi zote ni sawa, ila dhambi yakukata tamaa imezidi kidogo dhambi nyingine! AS longer as you are a real human being expect a...
-
Mpende akupendae, na asiekupenda mpende pia lakini kamwe usimlazimishe nae akurudishie upendo ulionao kwake. Just forgive and forget, ...
-
YESU NDIO DEREVA WA MAISHA YANGU, SIKU ZOTE ANANIONGOZA NA KUNIPITISHA KATIKA NJIA ILIYO SALAMA. UNAAMINI HIVO? COMMENT NA SHARE UJUMBE...