Wednesday, 1 March 2017

KWARESMA

Hiki ni kipindi cha kufunga, kulia na kusali. Maandiko yanasema, na tuirarue mioyo yetu na sio mavazi yetu. Na tena yanatukumbusha kuwa, wakati ndio sasa (huu) na si mwingine kwa kuwa hatujui siku wala saa atakapokuja mwana wa Adam (mkombozi wa ulimwengu) Yesu kristo. Basi napenda kuchukua nafasi hii kukutakia siku hii kuu mkristo mwenzangu ya majivu iwe njema kwako na uwe na mfungo mwema.
MAJIVU; Sisi tu mavumbi na mavumbini tutarudi. Amen.

No comments:

Post a Comment

SUNDAY VIBES

Well known ! Dhambi zote ni sawa, ila dhambi yakukata tamaa imezidi kidogo dhambi nyingine! AS longer as you are a real human being expect a...