Wednesday, 8 March 2017
Wednesday, 1 March 2017
KWARESMA
Hiki ni kipindi cha kufunga, kulia na kusali. Maandiko yanasema, na tuirarue mioyo yetu na sio mavazi yetu. Na tena yanatukumbusha kuwa, wakati ndio sasa (huu) na si mwingine kwa kuwa hatujui siku wala saa atakapokuja mwana wa Adam (mkombozi wa ulimwengu) Yesu kristo. Basi napenda kuchukua nafasi hii kukutakia siku hii kuu mkristo mwenzangu ya majivu iwe njema kwako na uwe na mfungo mwema.
MAJIVU; Sisi tu mavumbi na mavumbini tutarudi. Amen.
MAJIVU; Sisi tu mavumbi na mavumbini tutarudi. Amen.
Subscribe to:
Posts (Atom)
SUNDAY VIBES
Well known ! Dhambi zote ni sawa, ila dhambi yakukata tamaa imezidi kidogo dhambi nyingine! AS longer as you are a real human being expect a...
-
Jambo la msingi na lakuzingatia zaidi mapema kabla ya tarehe 16/6/2016 nikufanya backup! Kumbuka kuhamisha file zako kabla ya siku hi...
-
Hiki ni kipindi cha kufunga, kulia na kusali. Maandiko yanasema, na tuirarue mioyo yetu na sio mavazi yetu. Na tena yanatukumbusha kuwa, wak...
-
In life, sometimes you can think that you have already reach the place you always dreamed about, but the journey is still long. Get well pre...
